Beki wa Everton na timu ya taifa ya England John Stones
huenda asicheze hadi mwakani baada ya kuthibitishwa kuwa anahitaji kufanyiwa
upasuaji katika kifundo cha mguu.
Stones, 20, aliumia katika mchezo dhidi ya Manchester United
siku ya Jumapili na anatarajiwa kutocheza kati ya wiki 10 hadi 14.
No comments:
Post a Comment