Pages

Thursday, October 30, 2014

KIKOSI CHA YANGA CHAWASILI SALAMA BUKOBA

Kikosi cha Young Africans tayari kimeshawasili salama mjini Bukoba majira ya saa sita kamili mchana kwa saa za Afrika Mashariki na jioni timu inatarajia kufanya mazoezi.

No comments:

Post a Comment