Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekanusha uvumi kuhusu
kumtunuku msanii Diamond Platnumz shahada ya uzamivu (PhD) katika mahafali yake
ya 44 yatakayofanyika Mlimani City, Novemba 8 jijini Dar es Salaam.Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha
ujumbe uliopo katika mitandao ya kijamii ambao
unadai kuwa
msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond atanukiwa Shahada ya
Uzamivu ya heshima katika mahafali ya 44 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 8
No comments:
Post a Comment