Habari zilizotufukia hivi
punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado
tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa
kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of
the church, Dar to
lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu
mahali pema peponi amina.
No comments:
Post a Comment