Pages

Sunday, October 26, 2014

PICHA 10 ZA SHOW YA DIAMOND JANA MLIMANI CITY NI SHIDAAAAA.....

Staa wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akifanya yake  Mlimani City akiwa na wacheza shoo wake.


Diamond Platinumz akionyesha manjonjo Mlimani City.


Diamond akicheza na mashabiki wake.
Akiendelea kutoa burudani.

No comments:

Post a Comment