Pages

Sunday, October 26, 2014

PICHA STAND UNITED ILIVYOINGIA UWANJANI,HII NI HATARI TFF VYOMBO VYA USALAMA MMELIONA HILI....


Stand United wakiingia uwanjani na katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini amekuwa bega kwa bega na timu ya Stand United.

No comments:

Post a Comment