Pages

Saturday, October 25, 2014

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MEJA JENERALI HERMAN LUPOGO

 Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la Meja Jenerali mstaafu, Herman Lupogo wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Meja Lupogo alifariki Oktoba 19 katika hospitali ya Jeshi ya Lugalo. 
 Mke wa marehemu akiweka shada la maua.
 Familia ikiweka shada la maua.

 
 Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akiweka shada la maua.
 Mashada ya maua yakiwekwa.
 Heshima kwa marehemu Meja Jenerali Herman Lupogo.

No comments:

Post a Comment