Pages

Saturday, October 25, 2014

KIBAKA APEWA KIPIGO CHA MAANA BAADA YA KUIBA SIMU,SHUHUDIA HAPA

kijana mmoja mkazi wa Pasua mjini Moshi ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa wanachi wenye hasira kali,baada ya kuiba simu katika duka moja la mchele na kumpa mwenzake aliyefanikiwa kukimbia nayo. 

Bahati yake nzuri,askari waliweza kufika mapema eneo la Tukio na kumuokoa kwa kumchukua na kumpeleka kituoni.
Tukio hilo limetokea jioni ya jana katika duka la mchele la Lucki rice mart lilipo double road katikati ya mji wa Mokijana mmoja mkazi wa 

 
Pasua ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kutoka kwa wanachi baada ya kuiba simu katika duka la mchele na kumpa mwenzake aliyefanikiwa kukimbia nayo.
Tukio hilo limetokea jioni hii katika duka la mchele la Lucki rice mart lilipo double road katikati ya mji wa Moshi.

Kijana huyo ambaye anatajwa kufanya matukio  ya wizi katika maduka mbalimbali ya jirani na duka hilo ambapo walifika wawili nakufabikiwa kuiba simu ambayo mmoja wapo alifanikiwa kukimbia nayo kuelekea eneo la Njoroshi. 

 Kijana huyo ambaye anatajwa kufanya matukio ya wizi katika maduka mbalimbali ya jirani na duka hilo ambapo walifika wawili nakufanikiwa kuiba simu ambayo mmoja wapo alifanikiwa kukimbia nayo kuelekea eneo la Njoro.

Baada ya kupokea kichapocho alimriwa kufuta sehemu zote zilizochafuka kwa damu iliyokuwa ikimtoka wakati wa kichapo hicho kama anavyoonekana pichani hapo juu. 

No comments:

Post a Comment