Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 30, 2014

TAMKO LA UDSM KUHUSU TETESI ZA KUMTUNUKU DIAMOND PHD YA HESHIMA

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekanusha uvumi kuhusu kumtunuku msanii Diamond Platnumz shahada ya uzamivu (PhD) katika mahafali yake ya 44 yatakayofanyika Mlimani City, Novemba 8 jijini Dar es Salaam.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimekanusha

ujumbe uliopo katika mitandao ya kijamii ambao 

unadai kuwa msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul maarufu kama Diamond atanukiwa Shahada ya Uzamivu ya heshima katika mahafali ya 44 yanayotarajiwa kufanyika Novemba 8

No comments:

Post a Comment