Wanamichezo wanaongoza katika orodha ya watu ambao huwa kati
mstari wa mbele katika fesheni, iwe ni nguo ama hata utengezaji wa nywele.
Ni mabingwa katika kuwa na nywele zilizotengezwa vizuri ama
hata ufugaji wa ndevu.
Lakini afisa moja wa soka nchini Uturuki yuko katika
harakati ya kupiga marufuku mpango huo.
Ilhan Vacvac,mwenyekiti wa kilabu ya Uturuki ya
Genclerbirligi ametangza vita dhidi ya wanasoka wanaovuga ndevu.
,la kushangaza ni kwamba yeye mwenye anafuga masharubu.
Amesema kwamba mchezaji yeyote atakekuka marufuku hiyo
ikiwemo wachezaji na mameneja watapigwa faini ya shilingi milioni 1.02 fedha za
kenya .
Abel Xavier
Amesema kuwa yeye mwenyewe licha ya kuwa na umri wa miaka 80
hunyoa ndevu zake.
Anasema kwa kuwa mchezaji ni sharti mtu awe mfano mwema kwa
vijana.Cavcav alinukuliwa
akiliambia gazeti la Uingereza la the Gurdian.
Akiongezea kuwa ndevu hizo huwafanya wachezaji hao wa soka
kuwa kama wanafunzi.
Inadiwa kuwa bwana Cavcav amejaribu kulishawishi shirikisho
la soka nchini Uturuki kupitia Yildirim Demiroren,ya kupiga marufuku ufugaji wa
ndevu nchini humo.
''Demiroren alinimbia kwamba hawawezi kuweka marufuku hiyo
kwa kuwa UEFA haitakubali.
Natamani tungekuwa na mahala pengine kwa kucheza soka
alisema.
No comments:
Post a Comment