Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 12, 2014

BASI LA KAMPUNI YA WIBONELA LAPINDUKA NA KUDAIWA ABIRIA WOTE WAMEFARIKI

Basi la kampuni ya wibonela lililokuwa likitokea Kahama kuelekea jijini Dar esalaam limepinduka asubuhi hii maeneo ya Phantom kahama baada ya dereva wa basi hilo kushindwa kulimudu basi hilo lilipofika katika kona ya Phantom mjini kahama
likiwa katika mwendo kasi, bado haijajulikana ni watu wangapi wamepoteza maisha na kujeruhiwa katika ajali hiyo. Taarifa za awali kutoka kwenye tukio ambazo hazijathibitishwa na polisi zinadai watu  wamefariki 

No comments:

Post a Comment