Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 17, 2014

Behind the scene ya kwanza ya Ay kwenye video na Sean Kingston, Hii Hapa

AyInawezekana mimi na wewe tunafahamu kwamba msanii wa Tanzania Ay alikwenda Marekani kufanya video na staa wa muziki duniani Sean Kingston lakini hatujapata nafasi ya kuiona video ya kwanza ikionyesha sehemu ya utengenezwaji wa video hiyo.

Saa kadhaa zijazo utashuhudia video nyingine nzito Exclusive ambapo Ay ataonekana akiwa nyumbani kwa Sean Kingston.


No comments:

Post a Comment