Inawezekana
mimi na wewe tunafahamu kwamba msanii wa Tanzania Ay alikwenda Marekani
kufanya video na staa wa muziki duniani Sean Kingston lakini hatujapata
nafasi ya kuiona video ya kwanza ikionyesha sehemu ya utengenezwaji wa
video hiyo.
Saa kadhaa zijazo utashuhudia video nyingine nzito Exclusive ambapo Ay ataonekana akiwa nyumbani kwa Sean Kingston.
No comments:
Post a Comment