BREAKING NEWSSS;;MSANII WA HIPHOP GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA
Geez mabovu enzi za Uhai wake
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba msaanii maarufu wa miondoko ya kufoka foka (hiphop) Geez Mabovu amefariki dunia huko mkoani Iringa,Baba mdogo wa marehemu amethibitisha kutokea kwa kifo chake .Tutakuletea updates zaidi
No comments:
Post a Comment