Pages

Monday, November 10, 2014

CHIDI BENZ KUACHIA ALBUM YA PAMOJA NA FID Q

Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki, album kati ya Chidi Benz na Fid Q.Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.

No comments:

Post a Comment