Staa wa hip hop wa nchini Marekani,Eminem amewahi kukiri
kuwa angepoteza maisha kwa matumizi ya dawa za kulevya, kwa jinsi ilivyoonekana
kwenye picha za hivi karibuni ni kuwa bado madhara ya dawa hizo yanaendelea
kuonekana kwenye mwili wa Eminem haswa kwenye sura yake.Sura yake imekuwa
tofauti sana alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The
Year mjini New York jumatano hii.
alivyokuwa kwenye tuzo za Wall Street Journal Innovator Of The Year mjini New York jumatano hii.NA CLOUDSFM
No comments:
Post a Comment