Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi wa Kijiji
cha Ludewa, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro katika mkutano wa
Operesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Ludewa juzi. (Na mpiga picha wetu).
No comments:
Post a Comment