Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 19, 2014

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA

01Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha Masister cha Narunyu ambapo ameshiriki kazi ya kukamua maziwa akiwa katika ziara yake ya kikazi ya mikoa ya Lindi na Mtwara akikagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali lakini pia kuhimiza uhai wa Chama cha Mapinduzi CCM, Katibu mkuu Kinana katika ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa,Itikadi na Uenezi.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MTAMA -LINDI)3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kukamua maziwa katika kituo cha uugaji cha Masister cha Narunyu Mtama mkoani Lindi wakati alipotembelea kituo hicho.



02Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya Masister mara baada ya kuwasili katika kituo hicho katika jimbo la Mtama mkoani Lindi.1Baadhi ya Ng'ombe wakiwa katika shamba hilo. 17Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa tanki la maji katika mradi wa maji unaojengwa katika kata ya Nyangamara jimbo la Mtama.
12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akionyesha kitabu kinachoelezea shughuli mbalimbali zilizotekelezwa na Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe alipotembelea ofisi ya mbunge huyo. 11Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki katika shughuli za kubangua korosho wakati alipotembelea kikundi cha akina mama cha kubangua korosho katika kata ya Nyegendi jimbo la Mtama. 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kuchambua korosho kwa mashine katika kata ya Nyegendi wakati alipokitembelea kikundi cha kubangua korosho kinachoendeshwa na akina mama. 8Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa jimbo la Mtama wakiwa katika kikao cha ndani wakizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana . 7Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Maifa Mh. Bernard Membe akizungumza na wajumbe wa mkutano huo huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikilizia wa pili kutoka kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. 18 
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi. kushoto na Mbunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda wakicheza ngoma za asili ya kabila la Kimakonde wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika kata ya Chiuta jimbo la Mtama mkoani Lindi19Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo. 24
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Chiuta23
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano huo. 22
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. 21
Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe wakati wa mkutano huo. 20 
Mbunge wa jimbo la Mtama Mh. Bernard Membe akizungumza na wananchi wa jimbo lake katika kata ya Chiuta 

No comments:

Post a Comment