Pages

Friday, November 28, 2014

NJOO TUAGE MWEZI NOVEMBA KWA STAILI YA AINA YAKE NA SKYLIGHT BAND IKIWEMO RED CARPET TREATMENT, IJUMAA HII THAI VILLAGE

DSC_0016
Kutoka kushoto ni Dinga Mbepera, Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Bella Kombo wakitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki ambapo ratiba ya Skylight Band wiki hii tukifunga mwezi Novemba kwa mwaka 2014 ni kama ifutavyo.
IJUMAA 28.11.14: Kama kawaida tunaaga mwezi aina yake, skylight friday ndani ya Thai village masaki,special show ya mwisho wa mwezi kuwashukuru wadau wetu, Kutakua na Red carpet treatment, kutakua free shots of tequilla mlangoni, zawadi kwa dancers na shabiki wetu wa mwezi atapatikana#si ya kukosa ijumaa hii
JUMAMOSI 29.11.14:Hii ni siku ya bata na bata litaendelea, ni Pale Azura Beach Club Kawe Darajani kwenye siku kuu ya bata#Bata day# muziki na bata, usikosee hii
JUMAPILI 30.11.14: Ni bonanza letu la kistaarabu la kumalizia weekend, Skylight Sunday bonanza#Escape1 beach club# tutamaliza weekend yetu na mziki wa nguvu hii itakua ki africa zaidi#miziki mbalimbali toka barani africa#piga ki africa upate zawadi
DSC_0130
Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band ndani viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na waimbaji wenzake kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba pamoja na Hashim Donode.
 
DSC_0134
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia na burudani safi kabisa ya muziki wa Live ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
DSC_0093
Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower akiwachezesha gwaride wasanii wenzake Ijumaa iliyopita ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Sony Masamba na Aneth Kushaba AK47.
DSC_0025
Meneja wa bendi Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0136
Mashabiki wa Skylight Band nao wajisakata sebene la vijana wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0137
DSC_0037
Rappa Sony Masamba wa Skylight Band akishusha mistari Ijumaa zao za kila Ijumaa ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar huku akipewa sapoti na Joniko Flower pamoja na Sam Mapenzi.
DSC_0071
Kipaji kipya ndani ya Skylight Band anafahamika kwa jina la Alice.
DSC_0048
Kijana machachari mwenye sauti ya kipekee Hashim Donode akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akipewa sapoti na Sony Masamba pamoja na Bella Kombo.
DSC_0077
Comme si je n'existais pas..Elle est passé à coté de moi,..Sans un regard, reine de Saba…J'ai dit, Aicha, prends, tout est pour toi... pale shabiki alipokunwa na uimbaji wa Hashim Donode na kuamua kumshusha jukwaani wacheze pamoja.
DSC_0080
Aicha, Aicha, écoute-moi…Aicha, Aicha, t'en va pas…Aicha, Aicha, regarde-moi…Aicha, Aicha, réponds-moi..si mwingine ni Hashim Donode wa Skylight Band.
DSC_0111
Diva Digna Mbepera akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akipewa back up na Sony Masamba pamoja na Hashim Donode.
DSC_0129
DSC_0120
Mashabiki wa Skylight Band wakipata burudani kutoka kwa Digna Mbepera (hayupo pichani).
DSC_0141
Kikosi kazi cha majembe ya Skylight Band kikiporomosha burudani iliyoongozwa na mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0145
Twende kazi hakuna kulala hapa.!
DSC_0148
Mashabiki nao walijibu mashambulizi hawajakubali kushindwa.
DSC_0171
Mashabiki wa Skylight Band wakijibu mashambulizi kwa kusebeneka.
DSC_0177
Ehn dorobucci..Don dorobucci…Doro jazzy…Ehn doro boss..Doro big…You know say doro heavy…Doro skillful…You know say doro bloody…Doro get the biggest label wey you..Know of course…Doro tush pass anybody wey doro meet…Doro gather pass anybody for..The gathering…Doro get money pass everybody there.......Unapofika ule muda wa Naija Flava hivi ndivyo Sam Mapenzi anavyowadatisha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0181
Mashabiki wa Skylight Band wakiburudika kwa raha zao.
DSC_0175
Doro na diva....doro…Doro na tiwa..Doro na leader....doro..Follow the leader...doro…Doro doro do do doro....doro…Doro is bigger...doro…Doro is higher…Follow the ladder...doro…So follow the ladder......Na watuache kwa raha zetu.
DSC_0195
DSC_0160
Joniko Flower akiwaduarisha mashabiki wa Skylight Band.
DSC_0159
Pichani juu na chini ni mashabiki wa Skylight Band wakizungusha mduara Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa maraha wa Thai Village.
DSC_0156
DSC_0128
Mashabiki wa Skylight Band wakipata ukodak Ijumaa iliyopita.
DSC_0190
Mashabiki wa Skylight Band wakifurahia ukodak.
DSC_0186
Bella Kombo akipata ukodak na shosti yake back stage.
DSC_0200
Bella Kombo na Emma Beyz wakishow love back stage.
DSC_0153
Mratibu wa Skylight Band, Dean Nyalusi wa ZIFF pamoja na Blogger wa Vijimambo...
DSC_0205  
Mashabiki na wadau wa ukweli wa Skylight Band.

No comments:

Post a Comment