Basi la Sai Baba Express limepata ajali eneo la Pingo, Chalinze leo asubuhi baada ya kutaka kulipita basi lingine wakati mvua ikinyesha na kupelekea basi hilo kupinduka. Basi hilo lilikuwa linatokea Dar likielekea mkoani Mbeya. kwa taarifa za mapema zinasema kuwa akuna mtu aliyefariki katika ajali hiyo
MHE. PINDA AKUTANA NA VIONGOZI WA TUME HURU YA UCHAGUZI YA BOTSWANA
-
Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa
Afrika (SADC -SEOM) nchini Botswana, Mhe. Mizengo Pinda amekutana na
kuzungumza...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment