Pages

Thursday, November 20, 2014

PICHA::LORI LATEKETEA KWA MOTO MOROGORO

 Lori lilokuwa limebeba shehena ya Mapipa ya Lami ikiteketea kwa Moto muda huu eneo la Mikumi Mkoani Morogoro Barabara kuu ya Morogoro Iringa


  



''Kama una safari ya kwenda Iringa-Mbeya au kama unapokwenda utapita mikumi basi sitisha safari kwani njia inefungwa tangu saa mbili asubuhi. Kuna lory linawaka moto mpaka sasa. Lilikuwa limebeba lami so lami bado inawaka na inesambaa sehemu kubwa''

Baadhi ya watu wakishudia tukio  la ajali.



No comments:

Post a Comment