Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 19, 2014

REKODI YA KWANZA KUTEMBEA JUU YA KAMBA ILIYOVUNJWA BARANI AFRIKA

Kama Bado Hujajiunga Nasi, Unaweza Kujiunga Hapa Nikutumie habari Moja Kwa Moja .Unajua Rekodi ya kwanza iliyovunjwa ya watu kutembea juu ya kamba Afrika?Siku chache baada ya yule jamaa aliyevunja rekodi ya kutembea kwenye kamba umbali mrefu akiwa amefunga macho kwa kitambaa, leo kuna story ya hawa wengine ambao huenda rekodi yao ikawa ya kipekee pia kutokana na mazingira ambayo walifanikisha zoezi hilo.
Safari hii rekodi hiyo imevunjwa Afrika, ambapo Lukas Irmler kutoka Ujerumani naReinhard Kleindl kutoka Austria walifunga safari na kuingia Afrika na kuvunja rekodi hiyo katika maporomoko maarufu ya Victoria Falls yaliyopo mpakani mwa Zambia na Zimbabwe.

No comments:

Post a Comment