maprodyuza waliokuwa wakimchezesha mwanaye filamu bila
ridhaa yake.
Ilidaiwa kwamba, Jeniffer alikaidi amri ya mzee wake huyo na
kwenda kinyemela kurekodi vipande kadhaa vya muvi ya kikundi chao ambapo
taarifa zilimfikia baba yake huyo na kuamua kutimba lokesheni.
Baba huyo akijiandaa kumvaa prodyuza huyo. Ilisemekana
kwamba, katika hali iliyompandisha zaidi hasira, mzee huyo alipofika maeneo
hayo alimkuta mwanaye katikati ya ‘scene’ ya mahaba aliyokuwa akiigiza na
msanii anayetamba kwenye Tamthiliya ya Siri ya Mtungi, Daudi Michael almaarufu
Duma.
No comments:
Post a Comment