..Akionyesha mkono kupinga kupigwa picha.
KESI ya msanii muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid
Benz’, imeahirishwa tena leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu hadi Desemba
Mosi mwaka huu.
Msanii huyo anakabiliwa na kesi ya kukamatwa na madawa ya
kuletvya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jiji Dar es
Salaam wakati akisafiri kuelekea mkoani Mbeya kwa ajili ya kutumbuiza.
Upande wa mashitaka ukiongozwa na mawakili wawili Ofmed
Mtenga na Leonard Challo mbele ya Hakimu Waliarwanda Lema, umesema upelelezi
bado haujakamilika nakutaja tarehe ya kusikilizwa kesi hiyo Desemba mosi
(Stori/Picha na Denis
Mtima)GPL
No comments:
Post a Comment