KOCHA DAVID MOYES AKIWA AMEANZA RASMI KWA MARA YA KWANZA KUKINOA KIKOSI CHAKE KIPYA CHA REAL SOCIEDAD CHA HISPANIA. KOCHA HUYO WA ZAMANI WA MAN UNITED AMEANZA KAZI MPYA BAADA YA KUTIMULIWA NA MASHETANI HAO NA NAFASI YAKE KUCHUKULIWA NA LOUIS VAN GAAL AMBAYE HATA HIVYO BADO HAJAKAA VIZURI. MOYES AMESAINI MKATABA WA MIEZI 18 KUINOA TIMU HIYO YA HISPANIA
VIONGOZI FANYENI KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUYAFIKIA MAENDELEO - NGEZE
-
Na Dulla Uwezo
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba na Diwani wa Kata ya Rukoma
Murshid Ngeze amesema kuwa Viongozi ngazi za Kata, Vijiji na Viton...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment