Jina la Mbunge wa Jimbo la Makadara Kenya, Mike Sonko sio
jina geni, wengi tunamfahamu kutokana na vitu vingi ambavyo amekuwa akifanya
ikiwa ni pamoja na aina ya maisha anayoishi na amekuwa akisifiwa kutokana na
namna ambavyo amekuwa akiwajibika kwa wananchi wake anaowaongoza.
Stori kutoka Kenya ambayo imetawala vyombo vingi vya habari
ni kuhusiana tukio la msichana kuchaniwa
nguo na wanaume hadharani kutokana na
kuvaa vibaya.
Ujumbe aliouandika Sonko kutokana na tukio ulianza na sala
hii; “…. Namuomba Mungu awasamehe wanaume wanaowachania nguo wasichana..
Namuomba awaeleweshe wote kwamba wasichana wa karne ya 21 wako kidijitali sana
na tofauti…
No comments:
Post a Comment