Wananchi wakiwa eneo la Sogea, Tunduma ilipotokea ajali ya basi na Coaster.
WATU kadhaa wamejeruhiwa katika ajali iliyolihusisha Basi la Shalom Express lililokuwa likitokea Sumbawanga - Mbeya lililogonga Coaster iliyokuwa inatokea Mbeya- Tunduma eneo la Sogea, Tunduma jioni hii. Coster lilikuwa likijaribu ku-overtake lori ndipo lilipogongwa na basi hilo.
Idadi kamili ya majeruhi wa ajali hiyo bado haijafahamika
No comments:
Post a Comment