Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi
kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond
Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na
kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi
tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na
kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa ututolee
bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa watu halafu ukatutolee
maruerue! utegemee support yetu ..”
Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment