Pages

Sunday, December 7, 2014

DIAMOND NA VIJANA WAKE WAWASILI WASHINGTON, DC TAYARI KWA MAKAMUZI


 Diamond akiwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa Dulles muda huu tayari kwa makamuzi ya sharehe ya Uhuru itayofanyika leo  Sheraton ya Downtown Silver Spring, Maryland.
 Diamond akipungia wenyeji mara tu alipowasili Dulles.
 Kutoka kushoto ni Dj Romy Jones, Diamond na mmoja wa waratibu wa sherehe ya Uhuru Bw. Phanuel Ligate


 Moses Iyobo, Dj Romy Jones wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa mara tu baada ya kuwasili kwa ajili ya sherehe ya Uhuru itakayofanyika leo Jumamosi Sheraton ya Downtown Silver Spring, Maryland. 

No comments:

Post a Comment