Na Kim Kardashian angekuwa amejeribu, lakini wimbo wa
Gangnam ndio umevunja rekodi ya Internet.
Wimbo huo Umetazamwa mara bilioni mbili. Nambari kubwa ya
watu kuwahi kutazama wimbo au chochote kwenye Youtube.
Wamiliki wa You Tube wanasema hawajawahi kutarajia kitu
chochote kutazamwa hadi hapo. Wamelazimika kuongeza uwezo wa mtandao huo
kuhifadhi data hadi 62 kutoka kwa 34.
No comments:
Post a Comment