Ule usemi wa duniani
watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema
Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY
kwenye mtandao wa
INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana
na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai
kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa
anamfahamu na anamuita mke mweza…..Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme
kama kunaumuhimu wa wawili hawa kupimwa DNA
No comments:
Post a Comment