Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika
mara moja amenusurika kifo toka kwa wananchi wenye hasira kali baada
ya kukiri kuiba shuka la Kimasai katika moja ya maduka yanayouza
bidhaa za aina hiyo lililoko mtaa wa uswahilini katikati ya mji wa
Moshi. |
No comments:
Post a Comment