Salaam, Kwa vile klabu nne za Azam, Mtibwa Sugar, Simba
naYanga, timu zao
zitashiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoanzaJ
Januari 1mwakani kisiwani
Zanzibar; mechi zifuatazo za Ligi Kuu ya Vodacom
(VPL)zitapangiwa tarehe nyingine
katikati ya wiki. Mechi husika ni namba 59 (Azam vs Mtibwa
Sugar-03.01.2015), namba
61 (Mbeya City vs Yanga- 03.01.2015), namba 62
(MgamboShooting vs Simba-
04.01.2015). Mechi nyingine ni namba 66 (Coastal Union
vsYanga- 10.01.2015), namba
67 (Kagera Sugar vs Azam- 10.01.2015), namba 68(Simba vs
Mbeya City- 11.01.2015) na
namba 69 (Mtibwa Sugar vs TanzaniaPrisons- 11.01.15).
Wasalaam, Boniface
Wambura Mkurugenzi Idara ya Mashindano Shirikisho la Mpira
wa Miguu Tanzania (TFF)
No comments:
Post a Comment