Pages

Monday, December 1, 2014

MVUA ILIYONYESHA BAGAMOYO YASABABISHA MAFURIKO

 Sehemu ya kituo cha mabasi Bagamoyo kikiwa kimejaa maji


Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi ya mabasi ya Bagamoyo.chanzo GPL

No comments:

Post a Comment