Pages

Thursday, December 4, 2014

PICHA::MSANII CHID BENZ ALIPOPANDA KIZIMBANI TENA LEO

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro ’Chid Benz’ leo amepandishwa tena kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kesi ya staa huyo imeahirishwa mpaka Januari 15, 2015 itakapotajwa tena.

No comments:

Post a Comment