Amiri Jehi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ally Mwinyi(kushoto) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Adolf Mwamunyange wakiweka jiwe la msingi kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za maafisa wa jeshi huko Monduli mkoani Arusha jana.Katika mradi huo jumla ya nyumba elfu kumi zinatarajiwa kujenga katika kambi mbalimbali za jeshi nchini(picha na Freddy Maro)
Naibu Waziri Asema Serikali Ya Tanzania Inaendelea Kuboresha Mazingira ya
Biashara na Uwekezaji
-
Februari 10, 2025 Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus
Nyongo (Mb.), amebainisha kuwa Serikali ya Tanzan...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment