skip to main |
skip to sidebar
PINDA AWASILI QATAR KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Qatar Sheikh Abdullah Nasser Al Thani baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu wa Qatar iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Abdullah Nasser Al Thani kwenda kwenye chumba cha mikutano baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha kwa mazungumzo ya kiserikali akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Qatar , Sheikh Abdullah Nasser Al Thani kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu huyo iliyopo Doha Desemba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment