Tazama Picha Na Video::Roboti zapata ajira mgahawani China
Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti
zimezinduka
Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia Roboti badala ya
kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia chakula na vinywaji
wageni. Hebu tazama mambo yalivyo.CHANZO BBC
No comments:
Post a Comment