Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 2, 2014

TAZAMA VIDEO HII YA HAWA WAVUVI WA RUSSIA KIUMBE CHA AJABU WALICHOKIVUA


Katika harakati za kuvua samaki, wavuvi huko Russia walimnasa kwenye nyavu mnyama wa majini anayeitwa Steller sea lion (simba wa majini) wakati wakimnasua, mnyama huyo mwenye urefu unaofikia zaidi ya futi 10, na uzito wa zaidi ya tani moja, alimng’ata mmoja wa wavuvi kwenye mkono na kumrusha kama boya. Mbwa wa wavuvi hao naye alijipendekeza na mikwara yake akaadabishwa. sidhani kama huyo mbwa atarudia tena kuvamia kitu asichokifahamu. Mwishowe wavuvi hao walifanikiwa kumuondoa mnyama huyo kutoka kwenye meli yao kwa kum-flush na maji. Video ya drama nzima hapa chini 

No comments:

Post a Comment