WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA BAADA YA AJALI KUTOKEA ENEO LA NZEGA
Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega, inaasemekana chanzo cha ajali ni speed ya gari dogo na mvua kubwa iliyokuwa inanyesha eneo hilo.
No comments:
Post a Comment