Arsenal wamemasajili kiungo Krystian Bielik kutoka klabu ya Legia Warsaw ya Poland kwa pauni milioni 2.4. Bielik, 17, ambaye alifanya vipimo vya afya wiki iliyopita, alihamia Legia akitokea Lech Poznan mwaka jana na amecheza mara sita msimu huu. Arsenal wamesema mkataba huo "utakamilika baada ya mchakato wa kawaida kumalizika". Bielik, ambaye aliwahi kuichezea timu ya taifa ya Poland ya chini ya miaka 16, anaweza kucheza kama kiungo wa kati, au beki wa kati.
RAIS SAMIA ANATARAJIWA KUZINDUA MFUMO WA MIKOPO WENYE THAMANI YA BILIONI
2.3...
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan
anatarajia kuzindua rasmi mfuko wa mikopo wenye ki...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment