Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa
upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki
ambapo leo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa ikiwa ni miaka miwili
imepita toka kufariki kwa mama yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba
wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.
Peter na Paul Okoye.
No comments:
Post a Comment