PICHA YETU YA SIKU::HAPA NI ARUSHA MWAKA 1990 NEW SAFARI HOTEL
New safari Hotel kipindi hiyo ya mkoloni...Miaka ya 90s hapa
palikuwa na Disco linaitwa Cave tumeruka sana kopo hapa na kina Dj Mackop Dj
Super ...dah ilikuwa siku za furaha sana siku zile..Picha na JCB
No comments:
Post a Comment