Pages

Monday, January 19, 2015

Picha za Hotel ya Kifahari Analiyokuwa Anamilik Marehemu Fidel Odinga Iliyoko Kisumu



Aliyekuwa mtoto wa waziri mkuu wa zamani wa nchini Kenya yani Raila Odinga aliyefariku week chache zilizopita Fidel Odinga kumbe alikuwa tajiri kiasi fulani mitandao mingi ya kenya leo imesheheni story kubwa ambapo inamuhusu yeye kumiliki hotel ya kifahari iliyoko Kisumu na hapa nimefanikiwa kupata picha kadha kutoka huko









No comments:

Post a Comment