Pages

Tuesday, January 27, 2015

WAFANYA BIASHARA KARIAKOO WAFUNGA MADUKA

Mwaka 2014 ulikuwa ni mwaka ambao taarifa za Wafanyabiashara wa mikoa mbalimbali kugoma zilitawala sana, ilianzia Dar es salaam baadae ikasikika Mbeya wamegoma nao mwishoni pia tukasikia na Mwanza nao waligoma.
 Leo wafanyabiashara wa Kariakoo wamefunga tena maduka yao na hivi sasa inasemekana wamefanya 


hivyo kama kushinikiza kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa jumuiya ya Wafanyabiashara Bw Johnson Minja ambaye inadaiwa amekamatwa jioni ya jana na kushikiliwa kwenye kituo cha Polisi cha Kamata.

No comments:

Post a Comment