Habari iliyotufikia hivi punde toka Visiwani Zanzibar,inaeleza kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni,Mhe. Salmin Awadh amefariki dunia mchana huu baada kuanguka hafla akiwa kikaoni katika Afisi kuu ya CCM kisiwandui,mjini Unguja Zanzibar.
Pichani ni Mwili wa Mwakilishi huyo ukipakiwa kwenye gari ukitolewa kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja kwenda nyumbani kwake kwa matayarisho ya mazishi.
Chanzo: Michuzi
No comments:
Post a Comment