Pages

Thursday, February 19, 2015

BREAKING NEWSSS...: MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR AFARIKI DUNI GHAFLA MCHANA HUU

Habari iliyotufikia hivi punde toka Visiwani Zanzibar,inaeleza kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni,Mhe. Salmin Awadh amefariki dunia mchana huu baada kuanguka hafla akiwa kikaoni katika Afisi kuu ya CCM kisiwandui,mjini Unguja Zanzibar.

Pichani ni Mwili wa Mwakilishi huyo ukipakiwa kwenye gari ukitolewa kwenye hospitali ya Mnazi Mmoja kwenda nyumbani kwake kwa matayarisho ya mazishi.

Chanzo: Michuzi

No comments:

Post a Comment