Mfanyakazi wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick
Pella.
MFANYAKAZI wa Kampuni ya Mwananchi Communications, Patrick
Pella amevamiwa na majambazi wenye silaha na kupigawa risasi, kujeruhiwa na
kisha kuporwa fedha zake mchana huu maeneo ya Tabata-Relini jijini Dar.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Pella anadaiwa kuporwa kiasi cha
Sh. Mil 2 alizokuwa nazo akiwa ametoka kuzichukua kwenye mashine ya kutolea
fedha (ATM) Tawi la NMB liliyopo jirani na Azam TV, Barabara ya Mandela.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala, Mary Nzuki.
Mtandao huu ulimtafuta Kamanda wa Polisi mkoa wa
Ilala, Mary
Nzuki kuelezea zaidi tukio hilo, lakini simu yake iliita bila kupokelewa.chanzo GPL
No comments:
Post a Comment