Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 19, 2015

PICHA 5::BASI LA KIDIA LAPATA AJALI MBAYA YA KUGONGANA USO KWA USO NA LORI

 Ajali mbaya imetokea mchana huu huko Mbande, Dodoma baada ya basi la Kidia One kugongana uso kwa uso na lori. Basi hilo limeharibika vibaya mno, inasadikika watu wengi wamepoteza maisha. Endelea kufuatilia zaidi hapa Dj Sek Blog kwa taarifa zaidi!



No comments:

Post a Comment