Mchezaji Kolo Toure anayekipiga Uingereza na timu ya
Liverpool ambaye siku ya Jumapili aliisaidia timu yake ya Taifa kuchukua
ubingwa wa Afrika Cup of Nation baada ya kuifungia timu hiyo moja ya mkwaju wa
penati baada ya timu hiyo ya Ivory Coast na Ghana kutoka suluhu ndani ya dakika
120 na baadae
kupigiana penati 11 katika mechi ya fainali. Kolo Toure
ametangaza rasmi mechi hiyo ndio ilikua ya mwisho kuchezea Ivory Coast na sasa
anapisha wachezaji vijana kuendelea kuchukua nafasi yake na siku zote atakua
mstari wa mbele kuiunga mkono timu hiyo.
No comments:
Post a Comment